Tunamshukuru Mungu kwa yote anayofanya katika familia yangu. Mungu ametuwezesha kuwa na upendo na maisha yetu yamekuwa ya furaha wakati wote. Mungu zidi kubariki familia yetu. Mungu zidi kumlinda mtoto wetu Dan.


Mr & Mrs. Apostle Gideon Mutalemwa tukiwa katika uwepo wa Kimungu na kufurahia maisha yetu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni