APOSTLE GIDEON HEADER ANIMATIONS

SHOOTING MPYA YA WIMBO WA MTAKATIFU WA MTUME GIDEON MUTALEMWA

Ijumaa, 21 Juni 2013

MARUDIO SHOOTING YA VIDEO YA ALBAMU YA SAMBAMBA NA YESU YA APOSTLE GIDEON MUTALEMWA YAENDELEA ENEO LA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM

Mtu wa Mungu Mtume Gideon Mutalemwa siku ya Jumamosi ya tarehe 15.06.2013 aliweza kufanya marudio ya shooting ya albamu yake ya Sambamba na Yesu. Picha hizi unazoona ni shooting ya wimbo wa "Mtakatifu". Jipange kujipatia nakala yako hizi karibuni.

Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga ameshiriki katika albamu hii. Kwahiyo usikose na usifikirie kukosa kujipatia nakala yako.NA hao wadada wanatoka katika kanisa la nabii Flora na ni waimbaji wa kwaya Kuu

Unaweza kuwasiliana na Mtume Gideon Mutalemwa wa kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya maombezi na Uponyaji Mbezi Salasala kwa Nabii Flora kwa simu +255 719697252 au tembelea www.apostlegideon.blogspot.com

Picha hizi zimepigwa na Rumafrica
www.rumafrica.blogspot.com




Kutoka kushoto ni Mtume Gideon Mutalemwa, Mkurugenzi na Creative Director wa Rumafricam, Rulea Sanga, Mtoto wa Mtume Gideon na mke wake.








Mkurugenzi na Creative Director wa Rumafrica, Rulea Sanga



























Mtume Gideoni akiwa na mke wake na mwanae wa kwanza































Mtume Gideon Mutalemwa



Mtume Gideon Mutalemwa



Mtume Gideon Mutalemwa katikati























Mke wa mtume Gideon Mutalemwa



































Mkurugenzi na Creative Director wa Rumafrica, Rulea Sanga alikuwa mhusika mkuu wa still pictures.














Mtume Gideon Mutalemwa akiwa na mke wake na mwane wa kwanza.