APOSTLE GIDEON HEADER ANIMATIONS

SHOOTING MPYA YA WIMBO WA MTAKATIFU WA MTUME GIDEON MUTALEMWA

Jumatano, 31 Julai 2013

BAADA YA APOSTLE GIDEON MUTALEMWA KUKONGA MIOYO YA WENGI MAFINGA -IRINGA APATA MUALIKO TENA MKOANI HUMO


Mungu bado anazidi kumtumia mtumishi wa Mungu Mtume Gideon Mutalemwa wa anayeabudu katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji lililochini ya Nabii Flora hapa jijini Dar es Salaam.

Wiki iliyopita alikuwa katika mkoa Iringa eneo la Mafinga kwa kazi ya Mungu katika mkutano wa nje ulioandaliwa na kanisa la Jerusalem Spiritual Transformation lililoko Lumwago Mafinga Iringa mjini siku ya tarehe 24 hadi 28/07/2013.Na sasa ameingia jijini Dar es Salaam kwa kazi ya Mungu.

Siku ya tarehe 8.2013 anategemea kurudi tena katika mkoa wa Iringa ambapo amepata mwaliko na  Mchungaji Ambakisye wa kuhudumu katika kanisa la HOPE FOR ALL NATION CHURCH MAFINGA IRINGA TANZANIA

Mkutano huo ni mkutani wa nje utakaoanza siku ya tarehe 06.08.2013, eneo: Mafinga Mjini uwanja wa kanisa kuanzaia saa9:00 Alasiri – 12: 00 Jioni.

Kumbuka Apostle Gideon ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania na pia anafanya kazi ya kuhubiri katika mikutano mbalimbali, Na sasa hivi ameachia albamu yake ya Sambamba na Yesu ambayo ilifanyiwa shooting upya kwa kiwango cha juu sana.

Unaweza kuwasiliana naye kwa simu: +255 719 697252 au tembelea katika blogu yake ya www.apostlegideon.blogspot.com



Apostle Gideon Mutalemwa akihudumu katika kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji la Nabii Flora Peter lililoko Mbezi Salasala jijini Dar es Salaama. Unaweza kutembelea blogu ya kanisa hili www.nabiiflora.blogspot.com au ingia katika facebook yake kwa jina la Nabii Flora Peter.

APOSTLE GIDEON MUTALEMWA AKIWA MKOA WA IRINGA WIKI YA JANA

Mtume Gideon Mutalemwa akiwasha moto Mafinga
 Kwaya ikimtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji

Mtume Gideon Mutalemwa akihubiri kabla kuanza kazi ya kumuimbia Mungu
Kwaya ikifnaya kazi ya Mungu wakati wa mkutano

Kazi ya Mungu ikifanywa na Apostle Gideon Mutalemwa
 Wachungaji na Maskofu wakisikiliza Neno na kusoma Neno la Mungu

Haya sasa, mtumishishi wa Mungu akitumika...kurudisha watu kwa Yesu Kristo
Watu full kujiachia kwa Yesu Kristo

Mafinga ikiwashwa moto na Mtumishi wa Mungu Apostle Gideon Mutalemwa.
Watu walkiselebuka na Yesu wakati mtume Gideon akifanya mambo ya Yesu

mzee wa Sambamba na Yesu, Mtume Gideon Mutalemwa akienda sambamba na akina Kamwene na Mapembeleo mjini Mafinga

Kama wewe hupendi kumuimbia Mungu, Mtume Gideon Mutalemwa atamwimbia, kama unavyoona akifanya mambo.

ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBOFYA Read More HAPO CHINI

Ijumaa, 12 Julai 2013

APOSTLE GIDEON MUTALEMWA KUFANYA HUDUMA MAFINGA MKOA WA IRINGA

Mungu wetu ni Mungu ambaye hutumia watu wake kwa kazi yake. Katika waimbaji wote Mungu ameweza kumuona mtumishi wa Mungu Mtume Gideon Mutalemwa kwenda Iringa katika kanisa la Jerusalem Spiritual Transformation lililoko Lumwago Mafinga Iringa mjini siku ya tarehe 24 hadi 28/07/2013. Mtume Gideon Mutalemwa atakuwepo pale kwaajili ya kumwimbia Mungu na kumtangaza huyu Yesu tunayemtumikia kila siku.


Apostle Gideon Mutalemwa katika kanisa analoabudu la Yesu Kristo Huduma ya Maombezi na Uponyaji DSM

Mtume Gideon Mutalemwa ni muumini wa kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji Mbezi Salasala kwa Nabii Flora hapa jijini Dar es Salaam. Ni Mtumishi mwenye mke mmoja ambaye ni mzawa wa Iringa na mtoto mmoja. Kwahiyo anapokuja huko Mafinga Iringa anakuja nyumbani.


Watu wa Iringa msipange wa kufikiria kukosa kufika Lumwago Mafinga maana Mungu wetu tunayemwamini ataenda kuonekana na kuhudumia miyo yote kwa kupitia karama aliyoweka kwa Mtume Gideon Mutalemwa.


Mungu amemuwezesha mtumishi kuwa na albamu yake inayoenda kwa jina la SAMBAMBA NA YESU na nadi ya albamu hii utweza kusikia na kuona nyimbo za kitamaduni na nyine nyingi zenye ujumbe mzuri wa Mungu.



Unaweza kuwasiliana na Gideo Mutalemwa kwa simu +255 719 697252 au kwa blogu hii www.apostlegideon.blogspot.com
KARIBUNI SANA

Jumatano, 3 Julai 2013

MARUDIO YA VIDEO YA MTUME GIDEON MUTALEMWA YA SAMBAMBA NA YESU. KAANE MKAO WA KUPOKEA MAPINDUZI KATIKA MUZIKI WA INJILI TANZANIA

Mtume Gideon Mutalemwa wa kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji Mbezi Salasala kwa Nabii Flora Peter ameamua kuja na ujio mpya baada ya kuamua kurudia shooting ya albamu yake ya Sambamba na Yesu ambayo ilizinduliwa mwaka 2013 katika kanisa la Nabii Flora Peter. Mtume Gideon baada ya kuona video yake ya mara ya kwanza haikuwa katika kiwango ambacho kinaweza kumtukuza Mungu ndipo aliona ni vizuri agalamie tena kurudia shooting.

Kazi hii imefanyika katika maeneo ya uwanja wa Taifa, Kisarawe na Mbezi Salasala karibu na kanisa la Nabii Flora Peter

Mara tu albamu hii itakapokuwa tayari mtajulishwa kwa kupitia vyombo vya habari na mitandao mbalimbali.

Unaweza kuwasiliana na Mtume Gideon Mutalemwa kwa simu +255 719697252
 Mtume Gideon Mutalemwa akiwa katika Uwanja wa Taifa hapa jijini Dar es Salaam.

 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa

Mtume Gideon Mutalemwa
Mtume Gideon Mutalemwa

 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa

Mtume Gideon Mutalemwa

 Mtume Gideon Mutalemwa
 Mtume Gideon Mutalemwa












KISARAWE




































MAENEO YA MBEZI SALASALA DAR ES SALAAM
Mchungaji Komba wa kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji
Mbezi Salasala


Mtume Gideon Mutalemwa


































MUNGU AKUBARIKI SANA