APOSTLE GIDEON HEADER ANIMATIONS

SHOOTING MPYA YA WIMBO WA MTAKATIFU WA MTUME GIDEON MUTALEMWA

Jumapili, 17 Machi 2013

MTUME GIDEON MUTALEMWA AKIMTUMIKIA MUNGU KATIKA IBADA YA JUMAPILI 17.03.2013 KWA NABII FLORA

Siku ya Jumapili ilikuwa ni siku yangu ya baraka kutoka kwa Mungu kwa kupitia mpakwa mafuta Nabii Flora. Ninamshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha kutumika kwa njia uimbaji katika ibada ya leo. Pia ninamshukuru Mungu sana kwa kuniwezesha kuzindua albamu yangu. Ninawashukuru wote mliofika na kunitian moyo kwa maombi yenu na michango yenu ya kifedha.Ninaahidi mbele za Mungu kuwa nitazidi kuwaombea.

Mungu wangu awabariki sana

Kulia ni Apostle Gideon Mutalemwa

 Apostle Gideon Mutalemwa (kulia)
 Apostle Gideon nikitoa shukrani zangu kwa kuniwezesha kuzindua albamu yangu ya Sambamba na Yesu katika kanisa la Nabii Flora tarehe 03.03.2013
Apostle Gideon Mutale
Apostle Gideon
Apostle Gideon Mutalemwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni